Msemaji wa idara ya kutibu saratani katika hospitali kuu ya Mulago ameambia BBC kwamba walipokea wagonjwa elfu nne mwaka uliopita. Asilimia 75 ya wagonjwa hao walihitaji matibabu ya Radiotherapy.
Mke wa rais wa zamani wa Tanzania Maria Nyerere amewasili jijini Dar es Salaam Tanzania na kupelekwa hospitalini baada ya kupata matatizo ya kiafya nchini Uganda. Akizungumza na gazeti la The ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results